I made this widget at MyFlashFetish.com.

Wednesday, June 30, 2010

KUTEMBELEA WATOTO YATIMA PHASE TWO

siku ya Jumapili ya Tarehe 25/07/2010, tunatarajia kutembelea kwa mara ya Pili Kituo kingine cha watoto yatima..napenda chukua nafasi hii kuwaomba vijana wote kwa pamoja kujumuika katika tukio hilo la kuonyesha upendo kwa wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine hawajapata bahati sawa na sisi kwa kuondokewa na wazazi/warezi wao.
kwenye maisha atujui kesho wala next second kitatokea nini......mwili wa binadamu ula chakula ili uhisha rakini roho/nafsi/our souls.....ulishwa upendo ili uhishi,,,,,,,,,show LOVE to other ujijengee hazina yako na maisha marefu.

No comments:

Post a Comment