I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, June 1, 2010

KUTEMBELEA WATOTO YATIMA MAGOMENI

YOUTH 4 YOUTH
Siku ya Jumapili ya wiki hii tarehe 06/06/2010, tunapenda kujumuika pamoja nawe katika ziara yetu ya kutembelea watoto yatima wa kituo cha UMRA ORPHANAGE P.o Box 90268 Dsm kilichoka maeneo ya Kinondoni-Magomeni-Morocco Dar es Salaam.
Tulionana na Yusuph Ahmed (0754 948420) ambaye ni katibu wa kituo na alitueleza kuwa wana jumla ya watoto 60 na mahitaji yao ni mengi ila kwa dharura waliomba msaada wa vitu vifuatavyo MAHARANGE, MKAA, UNGO, NGANO, SABUNI, SUKARI, UMEME-(Meta ni ya LUKU-SAID SEIF-01341946513), NGUO lakini wanakaribisha msaada wa chochote kwa malezi ya watoto na wengi wanawasomesha.
kutakuwa na usafiri kuanzia Tabata-Kimanga kupitia BIMA Tabata-RELINI, Ubungo kuja mpaka Magomeni tuwasiliane kupitia kama utatumia hiyo root au kwa watakao kuja wenyewe pia tuwasiliane kwa maelekezo,
(+255717096022, +255713631988, +255716730182)
Tafadhali hili ni letu sote tuwajulishe na wengine
UPENDO UJENGWA NA MAZOEA

No comments:

Post a Comment