AGENDA ZA KIKAO NO. 001/2010
JINA - Kikao cha kufungua Mwaka 2010.
TAREHE - 31.Januari, 2010
MUDA - saa 11 JIONI
VENUE - TUMAINI NUS.
WAHUSIKA- WANACHANA NA WAHARIKWA WOTE.
1.0 UTANGULIZI
1.1 Ufunguzi wa kikao
1.2 Kukalibisha wageni.
(Mwenyekiti)
1.3 Uwekaji wa kumbukumbu-kusign register
(Katibu wa kikao)
2.0 TATHIMINI YA MWAKA 2009
2.1 Kupokea Taharifa za utendaji za Kamati kuu zote kwa mwaka 2009.
(Wakuu wa Kamati husika)
2.2 Kutadhini taharifa-(pendekezo la kutoa mda, ili ifanyike kikao cha Februari)
(Makamu wa Katibu Mkuu)
2.3 Taharifa ya Jumla Kamati ya Utendaji (pendekezo la kupokelewa Mwezi Februari)
(Katibu Mkuu)
2.4 Mafanikio na Changamoto kwa ujumla katika mwaka wa 2009.
(Wajumbe wote)
2.5 Utekelezwaji wa malengo kwa mwaka 2009.
(Mwenyekiti)
2.6 Shukrani wa wajumbe .
3.0 UTARATIBU WA VIKAO VYA Y&C
3.1 Utaratibu wa vikao vya kila mwezi.
-Mapendekezo kuusu mda wa kuwa tunafanya vikao
-Wajumbe kuwa wanapatiwa AGENDA za vikao wiki moja kabla ya kikao.
-wajumbe wapatiwe nafasi ya kuwakilisha mada au michango yao kimaandishi kwa katibu.
-kila mjumbe atatakiwa kuchangia katika kikao kadri ya juu ya uwezo wake.
-kuthaminiwa kwa mawazo ya wajumbe.
-ufatiliaji wa utekelezaji wa mahazimio ya kila kikao.
-kuruhusiwa kwa HOJA Maharumu toka kwa Mjumbe/Wajumbe au Kamati.
(Katibu Mkuu)
4.0 KUANDAA MISINGI YA SHERIA ZA Y&C
4.1 Mapendekezo ya mabadiliko katika Katiba.
4.2 Kuudwa kwa sheria za Nidhamu na Maadili ya Viongozi.
4.3 Umoja kati ya wanachama.
4.4 Utaratibu Maharumu wa kutoa taarifa kwa matukio Maharumu;
-Utaratibu wa taarifa za Msiba na kufiwa.
-utaratibu wa taharifa za sherehe na matukio mengine yasiyo ya msiba.
-utaratibu wa Y&C Kiutendaji.
(Makamu Mwenyekiti)
5.0 KUWAJADILI WANACHAMA WAFUATAO
1. HUSSEN GULU - NAIBU KATIBU
2. FREDDY NGATUNGA - MWEKA FEDHA MKUU
3. Wanachama wasioeleweka msimamo wao.
(Katibu Mkuu)
6.0 MILADI YA Y&C
-t-shirt project.
-Volleybal project.
-Sherehe ya funga mwaka.
-Plans na project za 2010.
(Mratibu Mkuu wa Miladi)
7.0 MENGINEO
(Wajumbe)
8.0 KUFUNGA
(Mwenyekiti)
No comments:
Post a Comment