Exclusive party ya mwaka mpya, iliyoandaliwa na association ya vijana (YOUTH AND CHALLENGES) Tabata kimanga inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa JAZZ HALL-Kimanga migombani. wewe kama kijana unaombwa kuhudhuri. usafiri upo free kunzia kimnga stand. mchango ni Tsh 1500/= tu! Kwa mawasiliano zaidi Piga simu..0717096022 na 0713631988